Logo YouVersion
Icona Cerca

Matendo ya Mitume 16:25-26

Matendo ya Mitume 16:25-26 SRB37

Lakini usiku wa manane Paulo na Sila wakamwomba Mungu na kumwimbia, wafungwa wenzao wakiwasikiliza. Papo hapo nchi ikatetemeka sana, hata misingi ya kifungo ikatikisika; mara milango yote ikafunguka, hata minyororo yao wote ikakatika.