1
Waroma 7:25
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Mungu atolewe shukrani kwa ajili ya Bwana wetu Yesu Kristo! Basi, kwa akili zangu mimi mwenyewe nayatumikia kitumwa Maonyo yake Mungu, lakini mwilini ni mtumwa wa maonyo ya ukosaji.
Confronta
Esplora Waroma 7:25
2
Waroma 7:18
Kwani najua: Humu ndani yangu, maana mwilini mwangu, hamna chema cho chote; kama ni kutaka, ninako, lakini kama ni kukifanya kilicho kizuri, sinako.
Esplora Waroma 7:18
3
Waroma 7:19
Kwani kilicho chema, ninachokitaka, sikifanyi; ila kilicho kiovu, nisichokitaka, ndicho, ninachokifanyiza.
Esplora Waroma 7:19
4
Waroma 7:20
Lakini mimi nisichokitaka, ninapokifanya hichohicho, basi, si mimi tena ninayekifanya, ila ndio ukosaji unaonikalia moyoni.
Esplora Waroma 7:20
5
Waroma 7:21-22
Hivyo mimi ninayetaka kukifanya kilicho kizuri, ninaona nguvu ngeni kwangu inayonishurutisha kukifanya kilicho kiovu. Kwani ninayaitikia Maonyo yake Mungu na kuyashangilia huku ndani moyoni.
Esplora Waroma 7:21-22
6
Waroma 7:16
Nami nisichokitaka, ninapokifanya hichohicho, basi, ninayaitikia Maonyo kuwa mazuri.*
Esplora Waroma 7:16