Danieli UTANGULIZI

UTANGULIZI
Sehemu mbili zinaonekana wazi katika kitabu hiki:
Sura 1-6. Ni juu ya mambo yaliyowapata Danieli na warafiki zake katika uhamisho wa Wayuda kule Babeli karibu na miaka mia sita mbele ya Kristo. Waliokolewa kutoka mambo mbalimbali ya taabu kwa sababu ya tegemeo lao kwa Mungu na utii wao uliolingana na imani yao.
Sura 7-12. Sehemu hii inatupatia maono mbalimbali ya Danieli ambamo tawala fulani za ulimwengu wa nyakati hizo zinahusika: Babeli, Medi, Persia na Ugriki. Maono yote yanaeleza kwa mifano na maelezo.

Áherslumerki

Afrita

Bera saman

Deildu

None

Want to have your highlights saved across all your devices? Sign up or sign in