Merki YouVersion
BiblíaÁætlanirMyndbönd
Sæktu forritið
Language Selector
Search Icon

Popular Bible Verses from Mwanzo 27

1

Mwanzo 27:28-29

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Mungu akumiminie umande wa mbinguni, akupe udongo wenye mboleo, ngano na divai kwa wingi. Jamii za watu zikutumikie, na mataifa yainame mbele yako kwa heshima. Ukuwe mutawala wa wandugu zako, na wana wa mama yako wainame mbele yako kwa heshima. Kila mutu anayekulaani alaaniwe, kila mutu anayekubariki abarikiwe!”

Bera saman

Njòttu Mwanzo 27:28-29

2

Mwanzo 27:36

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Esau akasema: “Ndiyo maana anaitwa Yakobo! Ametwaa nafasi yangu mara mbili. Kwanza alitwaa haki yangu ya muzaliwa wa kwanza, na sasa ametwaa baraka yangu.” Kisha akamwuliza baba yake: “Basi, haukuniwekea baraka yoyote?”

Bera saman

Njòttu Mwanzo 27:36

3

Mwanzo 27:39-40

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Kwa hiyo Isaka, baba yake, akamwambia: “Makao yako yatakuwa mbali na udongo wenye mboleo, na mbali na umande wa mbinguni. Utaishi kwa upanga wako, na utamutumikia ndugu yako; lakini utakapoasi utaivunja nira yake toka kwenye shingo yako.”

Bera saman

Njòttu Mwanzo 27:39-40

4

Mwanzo 27:38

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Esau akamwambia baba yake: “Baba, maana yake una baraka moja tu? Unibariki hata mimi, ee baba!” Halafu Esau akalia kwa sauti kubwa.

Bera saman

Njòttu Mwanzo 27:38

Ókeypis lestraráætlanir og hugleiðingar sem tengjast Mwanzo 27

Fyrri kafli
Næsti kafli
YouVersion

Hvetur þig áfram og skorar á þig að leita samfélags við Guð á hverjum degi.

Kirkjustarf

Um YouVersion

Starfsferill

Sjálfboðaliði

Blogg

Fjölmiðlar

Gagnlegar hlekkir

Hjálp

Gefa

Bíblíuútgáfa

Hljóðbiblíur

Tungumál Biblíunnar

Vers dagsins


Stafræn kirkja

Life.Church
English (US)

©2025 Life.Church / YouVersion

FriðhelgisstefnaSkilmálar
Vulnerability Disclosure Program
FacebookTwitterInstagramYoutubePinterest

Heim

Biblía

Áætlanir

Myndbönd