Merki YouVersion
BiblíaÁætlanirMyndbönd
Sæktu forritið
Tungumálaval
Leitartákn

Popular Bible Verses from Ezekieli 2

1

Ezekieli 2:2-3

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Alipokuwa akisema nami, Roho wa Mungu akaniingia na kunisimamisha wima. Halafu nikamusikia akiniambia hivi: Wewe mwanadamu ninakutuma kwa Waisraeli, taifa la waasi ambao wameniasi. Wameendelea kunikosea mimi mpaka leo sawa vile babu zao walivyofanya.

Bera saman

Njòttu Ezekieli 2:2-3

2

Ezekieli 2:7-8

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Wewe utawaambia maneno yangu, wakisikia au wakikataa kusikia, maana hao ni watu waasi. Lakini, ewe mwanadamu, usikilize ninayokuambia, wala usikuwe mwasi kama watu hao waasi. Ufungue kinywa chako, ukule ninachokupa.

Bera saman

Njòttu Ezekieli 2:7-8

3

Ezekieli 2:5

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Wakisikia au wakikataa kusikia, maana hao ni watu waasi, watatambua kwamba nabii yuko katikati yao.

Bera saman

Njòttu Ezekieli 2:5

Ókeypis lestraráætlanir og hugleiðingar sem tengjast Ezekieli 2

Fyrri kafli
Næsti kafli
YouVersion

Hvetur þig áfram og skorar á þig að leita samfélags við Guð á hverjum degi.

Kirkjustarf

Um YouVersion

Starfsferill

Sjálfboðaliði

Blogg

Fjölmiðlar

Gagnlegar hlekkir

Hjálp

Gefa

Bíblíuútgáfa

Hljóðbiblíur

Tungumál Biblíunnar

Vers dagsins


Stafræn kirkja

Life.Church
English (US)

©2026 Life.Church / YouVersion

FriðhelgisstefnaSkilmálar
Vulnerability Disclosure Program
FacebookTwitterInstagramYoutubePinterest