Merki YouVersion
BiblíaÁætlanirMyndbönd
Sæktu forritið
Tungumálaval
Leitartákn

Popular Bible Verses from Ezekieli 1

1

Ezekieli 1:4-9

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Nilipoangalia niliona upepo wa zoruba unavuma kutokea upande wa kaskazini: kulikuwa wingu kubwa lililozungukwa na mwangaza, na moto ulitokea humo mufululizo na katikati ya huo moto kulikuwa kitu kinachometameta kama shaba. Kutoka humo nilitambua viumbe vine, ambavyo vilionekana hivi: Vilikuwa na umbo la mwanadamu. Kila kimoja kilikuwa na nyuso ine na mabawa mane. Miguu yao ilikuwa yenye kunyooka; upande wa chini wa miguu yao ulikuwa kama kwato za miguu ya mwana-ngombe, nazo zilimetameta kama shaba safi. Chini ya mabawa yao, kulikuwa mikono inayokuwa sawa ya mutu. Mikono hiyo ilikuwa inaelekea kwenye pande zote ine pamoja na nyuso zao na mabawa yao. Incha za mabawa yao ziligusana kila bawa na bawa lingine. Vilipotembea, vilikwenda mbele moja kwa moja pasipo kugeuka.

Bera saman

Njòttu Ezekieli 1:4-9

2

Ezekieli 1:10-11

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Juu ya nyuso zao: kila kimoja kilikuwa na uso wa mutu upande wa mbele, uso wa simba upande wa kuume, uso wa ngombe upande wa kushoto, na uso wa tai upande wa nyuma. Mabawa mawili ya kila kimoja yalikuwa yamekunjuliwa juu na kugusana; na kwa mabawa yale mengine mawili, vilifunika miili yao.

Bera saman

Njòttu Ezekieli 1:10-11

Ókeypis lestraráætlanir og hugleiðingar sem tengjast Ezekieli 1

Fyrri kafli
Næsti kafli
YouVersion

Hvetur þig áfram og skorar á þig að leita samfélags við Guð á hverjum degi.

Kirkjustarf

Um YouVersion

Starfsferill

Sjálfboðaliði

Blogg

Fjölmiðlar

Gagnlegar hlekkir

Hjálp

Gefa

Bíblíuútgáfa

Hljóðbiblíur

Tungumál Biblíunnar

Vers dagsins


Stafræn kirkja

Life.Church
English (US)

©2026 Life.Church / YouVersion

FriðhelgisstefnaSkilmálar
Vulnerability Disclosure Program
FacebookTwitterInstagramYoutubePinterest