Merki YouVersion
BiblíaÁætlanirMyndbönd
Sæktu forritið
Tungumálaval
Leitartákn

Popular Bible Verses from Danieli 1

1

Danieli 1:8

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Lakini Danieli aliamua kutojichafua kwa kula chakula bora cha mufalme na kunywa divai yake. Kwa hiyo, alimwomba yule mukubwa amuruhusu asikule vitu hivyo na kujichafua.

Bera saman

Njòttu Danieli 1:8

2

Danieli 1:17

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Mungu aliwajalia vijana wale wane maarifa na ujuzi katika elimu na hekima. Zaidi ya hayo, alimujalia Danieli ufahamu wa kufasiria maono na ndoto.

Bera saman

Njòttu Danieli 1:17

3

Danieli 1:9

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Basi, Mungu akamujalia Danieli kupendelewa na kuhurumiwa na Aspenazi, yule mukubwa.

Bera saman

Njòttu Danieli 1:9

4

Danieli 1:20

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Jambo lolote la hekima au la maarifa ambalo mufalme aliwauliza alijionea mwenyewe kwamba vijana wale wane walikuwa bora mara kumi kuliko waaguzi na wachawi wote katika utawala wake.

Bera saman

Njòttu Danieli 1:20

Ókeypis lestraráætlanir og hugleiðingar sem tengjast Danieli 1

Fyrri kafli
Næsti kafli
YouVersion

Hvetur þig áfram og skorar á þig að leita samfélags við Guð á hverjum degi.

Kirkjustarf

Um YouVersion

Starfsferill

Sjálfboðaliði

Blogg

Fjölmiðlar

Gagnlegar hlekkir

Hjálp

Gefa

Bíblíuútgáfa

Hljóðbiblíur

Tungumál Biblíunnar

Vers dagsins


Stafræn kirkja

Life.Church
English (US)

©2026 Life.Church / YouVersion

FriðhelgisstefnaSkilmálar
Vulnerability Disclosure Program
FacebookTwitterInstagramYoutubePinterest