1
Yeremia 28:9
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Lakini nabii anayetabiri maneno ya amani, anaweza kutambulikana kama ni nabii aliyetumwa na Yawe, wakati mambo aliyotabiri yanapotokea.
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa Yeremia 28:9
2
Yeremia 28:15-16
Basi, nabii Yeremia akamwambia nabii Hanania: Sikiliza, Hanania. Yawe hakukutuma, nawe unawafanya watu hawa waamini uongo. Kwa hiyo Yawe anasema hivi: Nitakuondoa katika dunia. Mwaka huuhuu utakufa, kwa sababu umewasukuma watu wamwasi Yawe.
Nyochaa Yeremia 28:15-16
3
Yeremia 28:17
Mwaka huohuo, katika mwezi wa saba, nabii Hanania akakufa.
Nyochaa Yeremia 28:17