YouVersion logo
Ikona pretraživanja

Mattayo MT. 22:19-21

Mattayo MT. 22:19-21 SWZZB1921

Nionyesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari. Akawaambia, Ya nani sanamu hii, na anwani hii? Wakamwambia, Ya Kaisari. Akawaambia, Bassi, mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.

Videozapis za Mattayo MT. 22:19-21