1
Methali 22:6
Biblia Habari Njema
Mfunze mtoto namna ya kuishi vizuri, naye hatasahau njia hiyo hata uzeeni.
Compare
Explore Methali 22:6
2
Methali 22:4
Ukinyenyekea na kumcha Mwenyezi-Mungu, utapata tuzo: Fanaka, heshima na uhai.
Explore Methali 22:4
3
Methali 22:1
Afadhali kuwa na sifa nzuri kuliko mali nyingi; wema ni bora kuliko fedha au dhahabu.
Explore Methali 22:1
4
Methali 22:24
Usifanye urafiki na mtu wa hasira, wala usiandamane na mwenye ghadhabu
Explore Methali 22:24
5
Methali 22:9
Mtu mkarimu atabarikiwa, maana chakula chake humgawia maskini.
Explore Methali 22:9
6
Methali 22:3
Mtu mwangalifu huona hatari akajificha, lakini wajinga hujitokeza mbele wakaumia.
Explore Methali 22:3
7
Methali 22:7
Tajiri humtawala maskini; mkopaji ni mtumwa wa mkopeshaji.
Explore Methali 22:7
8
Methali 22:2
Matajiri na maskini wana hali hii moja: Mwenyezi-Mungu ni Muumba wao wote.
Explore Methali 22:2
9
Methali 22:22-23
Usimdhulumu maskini kwa kuwa ni maskini, wala usimnyime fukara haki yake mahakamani. Maana Mwenyezi-Mungu atawatetea; atawapokonya maisha yao wale watakaowadhulumu.
Explore Methali 22:22-23
YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy
Home
Bible
Plans
Videos