Mwanzo 17:1

Mwanzo 17:1 NEN

Abramu alipokuwa na umri wa miaka tisini na tisa, BWANA akamtokea, akamwambia, “Mimi ndimi Mungu Mwenyezi; nenda mbele zangu na uishi kwa unyofu.