YouVersion-Logo
BibelLesepläneVideos
Hol dir die App!
Sprachauswahl
Suchsymbol

Beliebte Verse in Yeremia 3

1

Yeremia 3:15

Neno

NEN

Kisha nitawapeni wachungaji wanaoupendeza moyo wangu, ambao watawaongoza kwa maarifa na ufahamu.

Vergleichen

Studiere Yeremia 3:15

2

Yeremia 3:22

Neno

NEN

“Rudini, enyi watu msio waaminifu, nami nitawaponya ukengeufu wenu.” “Naam, tutakuja kwako, kwa maana wewe ni BWANA Mungu wetu.

Vergleichen

Studiere Yeremia 3:22

3

Yeremia 3:12

Neno

NEN

Nenda, ukatangaze ujumbe huu kuelekea kaskazini: “ ‘Rudi, Israeli usiye mwaminifu,’ asema BWANA, ‘sitakutazama tena kwa uso uliokunjamana, kwa kuwa mimi ni mwenye huruma,’ asema BWANA, ‘Sitashika hasira yangu milele.

Vergleichen

Studiere Yeremia 3:12

4

Yeremia 3:13-14

Neno

NEN

Ungama dhambi zako tu: kwamba umemwasi BWANA Mungu wako, umetapanya wema wako kwa miungu ya kigeni chini ya kila mti unaotanda, nawe hukunitii mimi,’ ” asema BWANA. “Rudini, enyi watu msio waaminifu, kwa kuwa mimi ni mume wenu,” asema BWANA. “Nitawachagua ninyi, mmoja kutoka mji, na wawili kutoka ukoo, nami nitawaleta Sayuni.

Vergleichen

Studiere Yeremia 3:13-14

Vorheriges Kapitel
Nächstes Kapitel
YouVersion

Die App ermutigt und fordert dich heraus, jeden Tag die Gemeinschaft mit Gott zu suchen.

Dienst

Über

Jobangebote

Ehrenamtlich helfen

Blog

Presse

Nützliche Links

Hilfe

Spenden

Bibelübersetzungen

Hörbibeln

Bibelsprachen

Vers des Tages


Ein digitaler Dienst von

Life.Church
Deutsch (Deutschland)

©2026 Life.Church / YouVersion

DatenschutzrichtlinieAGB
Verfahren zur Offenlegung von Sicherheitslücken (VDP)
FacebookTwitterInstagramYouTubePinterest