Habakuki 3:17-18

Habakuki 3:17-18 BHN

Hata kama mitini isipochanua maua, wala mizabibu kuzaa zabibu; hata kama mizeituni isipozaa zeituni, na mashamba yasipotoa chakula; hata kama kondoo wakitoweka zizini, na mifugo kukosekana mazizini, mimi nitaendelea kumfurahia Mwenyezi-Mungu nitamshangilia Mungu anayeniokoa.

صورة الآية لـ Habakuki 3:17-18

Habakuki 3:17-18 - Hata kama mitini isipochanua maua,
wala mizabibu kuzaa zabibu;
hata kama mizeituni isipozaa zeituni,
na mashamba yasipotoa chakula;
hata kama kondoo wakitoweka zizini,
na mifugo kukosekana mazizini,
mimi nitaendelea kumfurahia Mwenyezi-Mungu
nitamshangilia Mungu anayeniokoa.Habakuki 3:17-18 - Hata kama mitini isipochanua maua,
wala mizabibu kuzaa zabibu;
hata kama mizeituni isipozaa zeituni,
na mashamba yasipotoa chakula;
hata kama kondoo wakitoweka zizini,
na mifugo kukosekana mazizini,
mimi nitaendelea kumfurahia Mwenyezi-Mungu
nitamshangilia Mungu anayeniokoa.

خطط قرأة مجانية و مواضيع تعبدية ذات صلة بHabakuki 3:17-18