在聖經軟件中關注 Love God Greatly - Swahili。

用你的流動裝置掃描二維碼,即可下裝聖經軟件。

Love God Greatly - Swahili
關於Love God Greatly - Swahili
Kutojua kusoma na kuandika Biblia ni changamoto ya kimataifa, ambayo Mpende Mungu Sana imejitolea kushinda. Kupitia masomo na nyenzo zetu za Biblia zilizotafsiriwa, tunawawezesha wanawake duniani kote kuimarisha uhusiano wao na Mungu, kubadilisha familia, jumuiya na mataifa.