1
Mwanzo 19:26
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Lakini mke wa Lutu akatazama nyuma, hivyo akawa nguzo ya chumvi.
對照
Mwanzo 19:26 探索
2
Mwanzo 19:16
Alipositasita, wale wanaume wakamshika mkono wake, na mikono ya mke wake na binti zake wawili na kuwaongoza salama nje ya mji, kwa kuwa BWANA aliwahurumia.
Mwanzo 19:16 探索
3
Mwanzo 19:17
Mara walipokwisha kuwatoa nje, mmoja wao akawaambia, “Mkimbie kwa usalama wenu! Msitazame nyuma, wala msisimame popote katika nchi tambarare! Kimbilieni milimani, ama sivyo mtaangamizwa!”
Mwanzo 19:17 探索
4
Mwanzo 19:29
Kwa hiyo Mungu alipoiangamiza miji ya tambarare, alimkumbuka Abrahamu, akamtoa Lutu kutoka lile janga lililoharibu miji ile ambamo Lutu alikuwa ameishi.
Mwanzo 19:29 探索
主頁
聖經
計劃
影片