在圣经软件里关注 Soma Biblia。

用你的移动设备扫描此二维码,即可下载圣经软件。

Soma Biblia
关于Soma Biblia
Dhamira: NENO LA INJILI KWA RIKA ZOTE. Lengo letu kuu ni kusambaza Injili ya Yesu Kristo kwa Kiswahili, kwa kuandaa Kanisa kupitia kuendeleza, kuzalisha na kusambaza Biblia kwa njia ya sauti, machapisho ya kuaminika juu ya Injili na vifaa vingine, vyote kwa Kiswahili. Shabaha nyingine ni kuwasaidia Wakristo kufikisha Injili kwa watu na kuwafundisha kupitia neno la Mungu – juu ya imani na maisha.