Yoshua 11:23

Yoshua 11:23 NENO

Hivyo Yoshua akaiteka nchi hiyo yote kama vile BWANA alivyokuwa amemwagiza Musa, naye Yoshua akawapa Israeli kuwa urithi wao, kulingana na walivyogawanyika katika makabila yao. Ndipo nchi ikawa na amani bila vita.