YouVersion 标志
圣经计划视频
获取软件
选择语言
搜索图标

1 Mose 11 的热门经文

1

1 Mose 11:6-7

Swahili Roehl Bible 1937

SRB37

Bwana akasema: Ninawaona watu hawa kuwa ukoo mmoja tu, nao msemo wao wote ni mmoja tu vilevile. Nao huu ndio mwanzo tu wa matendo yao; sasa yote, watakayoyawaza mioyoni kuyafanya, hakuna lo lote litakalowashinda. Haya! Na tushuke, tuuvuruge msemo wao huko, mtu asiusikie msemo wa mwenziwe!

对照

探索 1 Mose 11:6-7

2

1 Mose 11:4

Swahili Roehl Bible 1937

SRB37

Wakasema: Haya! Na tujijengee mji wenye mnara, nayo ncha yake ifike mbinguni, tujipatie jina, tusije kusambazwa katika nchi zote za duniani!

对照

探索 1 Mose 11:4

3

1 Mose 11:9

Swahili Roehl Bible 1937

SRB37

Kwa sababu hiyo wakauita jina lake Babeli (Mvurugo), kwa kuwa huko ndiko, Bwana alikouvuruga msemo wa watu wote wa huku nchini, akawatawanya na kuwatoa huko, wajiendee kukaa katika nchi zote.

对照

探索 1 Mose 11:9

4

1 Mose 11:1

Swahili Roehl Bible 1937

SRB37

Watu wa nchi yote nzima walikuwa wenye msemo mmoja, nayo maneno yalikuwa yaleyale mamoja.

对照

探索 1 Mose 11:1

5

1 Mose 11:5

Swahili Roehl Bible 1937

SRB37

Ndipo, Bwana aliposhuka, autazame huo mji na mnara, wana wa Adamu walioujenga.

对照

探索 1 Mose 11:5

6

1 Mose 11:8

Swahili Roehl Bible 1937

SRB37

Hivyo ndivyo, Bwana alivyowatawanya na kuwatoa huko, wajiendee kukaa katika nchi zote. Ndipo, walipoacha kuujenga ule mji.

对照

探索 1 Mose 11:8

上一章
下一章
YouVersion

我们要鼓励、挑战你每天亲近上帝。

事工

关于我们

就职机会

义工

博客

新闻区

有用链接

帮助

捐赠

圣经译本

音频圣经

译本语言

今日经文


此数字事工属于

Life.Church
English (US)

©2025 Life.Church / YouVersion

隐私政策使用条款
漏洞披露方案
FacebookTwitterInstagramYouTubePinterest

主页

圣经

计划

视频