1
Marko 15:34
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
SCLDC10
Saa tisa alasiri Yesu akalia kwa sauti kubwa, akasema, “Eloi, Eloi, lema sabakthani?” Maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”
对照
探索 Marko 15:34
2
Marko 15:39
Jemadari mmoja aliyekuwa amesimama mbele yake alipoona kwamba Yesu alikata roho namna hiyo, akasema, “Kweli mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu!”
探索 Marko 15:39
3
Marko 15:38
Basi, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu mpaka chini.
探索 Marko 15:38
4
Marko 15:37
Yesu akapaza sauti kubwa, akakata roho.
探索 Marko 15:37
5
Marko 15:33
Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa giza likaikumba nchi yote.
探索 Marko 15:33
6
Marko 15:15
Pilato alitaka kuuridhisha huo umati wa watu; basi, akamwachilia Baraba kutoka gerezani. Akaamuru Yesu apigwe viboko, kisha akamtoa asulubiwe.
探索 Marko 15:15
主页
圣经
计划
视频