1
1 Sam 12:24
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
SCLDC10
Basi, nyinyi mcheni Mwenyezi-Mungu na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wenu wote. Kumbukeni yale mambo makuu aliyowatendea.
对照
探索 1 Sam 12:24
2
1 Sam 12:22
Kwa heshima ya jina lake kuu, Mwenyezi-Mungu hatawatupa watu wake kwa sababu amependa kuwafanya nyinyi muwe watu wake.
探索 1 Sam 12:22
3
1 Sam 12:20
Samueli akawajibu, “Msiogope; ingawa mmefanya uovu huu, msiache kumfuata Mwenyezi-Mungu, ila mtumikieni kwa moyo wenu wote.
探索 1 Sam 12:20
4
1 Sam 12:21
Msiifuate miungu ya uongo isiyo na faida wala haiwezi kuwaokoa, maana ni ya uongo.
探索 1 Sam 12:21
主页
圣经
计划
视频