YouVersion 标志
圣经计划视频
获取软件
选择语言
搜索图标

Yoshua 4 的热门经文

1

Yoshua 4:24

Neno: Bibilia Takatifu 2025

NENO

Alifanya hivi ili mataifa yote ya dunia yapate kujua kuwa mkono wa BWANA ni wenye nguvu, na ili kila wakati mpate kumcha BWANA Mungu wenu.”

对照

探索 Yoshua 4:24

2

Yoshua 4:21-23

Neno: Bibilia Takatifu 2025

NENO

Akawaambia Waisraeli, “Wazao wenu watakapowauliza baba zao siku zijazo wakisema, ‘Mawe haya maana yake ni nini?’ Basi waambieni, ‘Israeli ilivukia mahali pakavu katika Mto Yordani.’ Kwa maana BWANA Mungu wenu alikausha maji ya Yordani mbele yenu, hadi mlipomaliza kuvuka. BWANA Mungu wenu alifanya haya kwa Mto Yordani sawasawa na kile alichoifanyia Bahari ya Shamu alipoikausha mbele yetu hadi tulipomaliza kuvuka.

对照

探索 Yoshua 4:21-23

上一章
下一章
YouVersion

我们要鼓励、挑战你每天亲近上帝。

事工

关于我们

就职机会

义工

博客

新闻区

有用链接

帮助

捐赠

圣经译本

音频圣经

译本语言

今日经文


此数字事工属于

Life.Church
English (US)

©2025 Life.Church / YouVersion

隐私政策使用条款
漏洞披露方案
FacebookTwitterInstagramYouTubePinterest

主页

圣经

计划

视频