Luka 2:8-9

Luka 2:8-9 SCLDC10

Katika sehemu hizo, walikuwako wachungaji wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo yao. Malaika wa Bwana akawatokea ghafla, na utukufu wa Bwana ukawaangazia pande zote. Wakaogopa sana.

Verse Image for Luka 2:8-9

Luka 2:8-9 - Katika sehemu hizo, walikuwako wachungaji wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo yao. Malaika wa Bwana akawatokea ghafla, na utukufu wa Bwana ukawaangazia pande zote. Wakaogopa sana.

اس Luka 2:8-9 کے مطابق مفت مطالعاتی منصوبے اور عقیدت بھرے پیغام