1
1 Mose 4:7
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Tazama, sivyo hivyo? Ukifanya mema utanielekezea macho; lakini usipofanya mema, ukosaji hulala mlangoni na kukutamani, lakini wewe sharti uushinde!
Karşılaştır
1 Mose 4:7 keşfedin
2
1 Mose 4:26
Seti naye alipozaliwa mwana akamwita jina lake Enosi. Siku hizo ndipo, watu walipoanza kulitambikia Jina la Bwana.
1 Mose 4:26 keşfedin
3
1 Mose 4:9
Naye Bwana alipomwuliza Kaini: Ndugu yako Abeli yuko wapi? akajibu: Sijui; je? Mimi ni mlezi wa ndugu yangu?
1 Mose 4:9 keşfedin
4
1 Mose 4:10
Akamwuliza tena; Umefanya nini? Sauti za damu ya ndugu yako zinanililia huko nchini!
1 Mose 4:10 keşfedin
5
1 Mose 4:15
Lakini Bwana akamwambia: Atakayemwua Kaini atalipizwa mra saba. Kisha Bwana akamtia Kaini alama, kila atakayemwona asimwue.
1 Mose 4:15 keşfedin