1
Mattayo MT. 27:46
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Na kama saa tissa, Yesu akapaaza sauti yake kwa nguvu akinena, Eli, Eli, lama sabakhthani? maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Муқоиса
Mattayo MT. 27:46 омӯзед
2
Mattayo MT. 27:51-52
Na tazama pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hatta chini: inchi ikatetema; miamba ikapasuka; makaburi yakafunuka; ikafufuka miili mingi ya watakatifu waliolala
Mattayo MT. 27:51-52 омӯзед
3
Mattayo MT. 27:50
Nae Yesu akiisha kupaaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.
Mattayo MT. 27:50 омӯзед
4
Mattayo MT. 27:54
Bassi yule akida, nao walio pamoja nae wakimwangalia Yesu, walipoliona tetemeko la inchi na mambo yaliyofanyika, wakaogopa sana, wakinena, Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu.
Mattayo MT. 27:54 омӯзед
5
Mattayo MT. 27:45
Tangu saa sita palikuwa giza juu ya inchi yote hatta saa tissa.
Mattayo MT. 27:45 омӯзед
6
Mattayo MT. 27:22-23
Pilato akawaambia, Bassi, nimtendeni Yesu aitwae Kristo? Wakanena wote, Asulibiwe. Liwali akasema, Kwani? ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, wakinena, Asulibiwe.
Mattayo MT. 27:22-23 омӯзед
Асосӣ
Китоби Муқаддас
Нақшаҳо
Видео