1
Mattayo MT. 26:41
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Kesheni, kaombeni, msije mkaingia majaribuni: Roho ina nia njema, bali mwili ni dhaifu.
Муқоиса
Mattayo MT. 26:41 омӯзед
2
Mattayo MT. 26:38
Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkakeshe pamoja nami.
Mattayo MT. 26:38 омӯзед
3
Mattayo MT. 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akiomba, akinena, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kinipitie; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Mattayo MT. 26:39 омӯзед
4
Mattayo MT. 26:28
maana hii ni damu yangu ya agano jipya, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.
Mattayo MT. 26:28 омӯзед
5
Mattayo MT. 26:26
Walipokuwa wakila, Yesu akatwaa mkate, akaubariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ni mwili wangu.
Mattayo MT. 26:26 омӯзед
6
Mattayo MT. 26:27
Akatwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akinena, Nyweeni nyote hiki
Mattayo MT. 26:27 омӯзед
7
Mattayo MT. 26:40
Kisha akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Je! hamkuweza kukesha pamoja nami hatta saa moja?
Mattayo MT. 26:40 омӯзед
8
Mattayo MT. 26:29
Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu leo nzao huu wa mzabibu, hatta siku ile nitakapounywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.
Mattayo MT. 26:29 омӯзед
9
Mattayo MT. 26:75
Petro akalikumbuka lile neno la Yesu aliloambiwa nae, Kabla ya kuwika jogoo, utanikana marra tatu. Akatoka nje, akalia kwa majonzi.
Mattayo MT. 26:75 омӯзед
10
Mattayo MT. 26:46
Ondokeni, twende zetu. Angalieni, anaenisaliti anakaribia.
Mattayo MT. 26:46 омӯзед
11
Mattayo MT. 26:52
Yesu akamwambia, Rudisha upanga wako mahali pake: maana wote washikao upanga, wataangamia kwa upanga.
Mattayo MT. 26:52 омӯзед
Асосӣ
Китоби Муқаддас
Нақшаҳо
Видео