Injili Ulimwenguni - Sehemu 1నమూనా

Injili Ulimwenguni - Sehemu 1

7 యొక్క 7

Kisha Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Mto Yordani ili Yohana ambatize.  Lakini Yohana akajitahidi kumzuia, akimwambia,  “Mimi ninahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu   nikubatize?”  Lakini Yesu akamjibu,    “Kubali hivi sasa, kwa maana ndivyo itupasavyo kwa njia hii   kuitimiza haki yote.”   Hivyo Yohana akakubali.  Naye Yesu alipokwisha kubatizwa, mara alipotoka ndani ya   maji, ghafula mbingu zikamfungukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua   na kutulia juu yake.  Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema,   “Huyu ni Mwanangu mpendwa, ambaye ninapendezwa sana naye.”    

వాక్యము