1
Zaburi 92:12-13
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Kwa macho yangu, nimeona waadui zangu wameshindwa; kwa masikio yangu, nimesikia kilio cha wanaotenda maovu. Watu wa haki wanastawi kama mingazi; wanakomaa kama mierezi ya Lebanoni!
2
Zaburi 92:14-15
Kama miti iliyopandwa katika nyumba ya Yawe, wanastawi katika viwanja vya Mungu wetu; inaendelea kuzaa matunda hata katika uzee; siku zote wamejaa utomvu na wabichi