YouVersion
Pictograma căutare

Warumi 8:16-17

Warumi 8:16-17 NEN

Roho mwenyewe hushuhudia pamoja na roho zetu kwamba sisi tu watoto wa Mungu. Hivyo, ikiwa sisi ni watoto, basi tu warithi, warithi wa Mungu, warithio pamoja na Kristo, naam, tukiteswa pamoja naye tupate pia kutukuzwa pamoja naye.

Videoclipuri pentru Warumi 8:16-17

Planuri de citire și Devoționale gratuite în legătură cu Warumi 8:16-17