YouVersion
Pictograma căutare

Kutoka 8:24

Kutoka 8:24 NEN

Naye BWANA akafanya hivyo. Makundi makubwa ya inzi walimiminika katika jumba la kifalme la Farao na katika nyumba za maafisa wake, pia nchi yote ya Misri ikaharibiwa na inzi.