YouVersion
Pictograma căutare

Kutoka 34:10

Kutoka 34:10 NEN

Kisha BWANA akasema: “Tazama, ninafanya agano nanyi. Mbele ya watu wako wote nitafanya maajabu ambayo hayajafanyika katika taifa lolote katika ulimwengu wote. Watu wale mnaoishi miongoni mwao wataona jinsi ilivyo ya kushangaza kazi nitakayowafanyia Mimi, BWANA wenu.