YouVersion
Pictograma căutare

Kutoka 20:9-10

Kutoka 20:9-10 NEN

Kwa siku sita utafanya kazi na kutenda shughuli zako zote, lakini siku ya saba ni Sabato kwa BWANA Mungu wako. Siku hiyo hutafanya kazi yoyote, wewe, wala mwanao au binti yako, wala mtumishi wako wa kiume au wa kike, wala wanyama wako, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.

Planuri de citire și Devoționale gratuite în legătură cu Kutoka 20:9-10