YouVersion
Pictograma căutare

Kutoka 20:4-5

Kutoka 20:4-5 NEN

Usijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote kilicho juu mbinguni, au duniani chini, au ndani ya maji. Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, BWANA Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanaonichukia

Planuri de citire și Devoționale gratuite în legătură cu Kutoka 20:4-5