1
Mwanzo 40:8
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
SCLDC10
Wakamjibu, “Tuna huzuni kwa kuwa tumeota ndoto na hakuna awezaye kututafsiria ndoto zetu.” Yosefu akawaambia, “Je, kutafsiri ndoto si kazi ya Mungu? Basi, niambieni ndoto zenu.”
Compară
Explorează Mwanzo 40:8
2
Mwanzo 40:23
Hata hivyo, yule mtunza vinywaji mkuu akamsahau Yosefu, badala ya kumkumbuka.
Explorează Mwanzo 40:23