1
Zaburi 72:18
Neno
NEN
Ahimidiwe BWANA Mungu, Mungu wa Israeli, ambaye peke yake hutenda mambo ya ajabu.
Compară
Explorează Zaburi 72:18
2
Zaburi 72:19
Jina lake tukufu lihimidiwe milele, ulimwengu wote ujae utukufu wake. Amen na Amen.
Explorează Zaburi 72:19
3
Zaburi 72:12
Kwa maana atamwokoa mhitaji anayemlilia, aliyeonewa asiye na wa kumsaidia.
Explorează Zaburi 72:12