1
Zaburi 70:4
Neno
NEN
Lakini wote wanaokutafuta washangilie na kukufurahia, wale wanaoupenda wokovu wako siku zote waseme, “BWANA ni mkuu!”
Compară
Explorează Zaburi 70:4
2
Zaburi 70:5
Lakini mimi bado ni maskini na mhitaji; Ee Mungu, unijie haraka. Wewe ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; Ee BWANA, usikawie.
Explorează Zaburi 70:5
3
Zaburi 70:1
Ee Mungu, ufanye haraka kuniokoa; Ee BWANA, njoo hima unisaidie.
Explorează Zaburi 70:1