1
Zaburi 68:19
Neno
NEN
Ahimidiwe Bwana, Mungu Mwokozi wetu, ambaye siku kwa siku hutuchukulia mizigo yetu.
Compară
Explorează Zaburi 68:19
2
Zaburi 68:5
Baba wa yatima, mtetezi wa wajane, ni Mungu katika makao yake matakatifu.
Explorează Zaburi 68:5
3
Zaburi 68:6
Mungu huwaweka wapweke katika jamaa, huwaongoza wafungwa wakiimba, bali waasi huishi katika nchi kame.
Explorează Zaburi 68:6
4
Zaburi 68:20
Mungu wetu ni Mungu anayeokoa, BWANA Mwenyezi hutuokoa na kifo.
Explorează Zaburi 68:20