1
Zaburi 63:1
Neno
NEN
Ee Mungu, wewe ni Mungu wangu, nakutafuta kwa moyo wote; nafsi yangu inakuonea kiu, mwili wangu unakuonea wewe shauku, katika nchi kame na iliyochoka, mahali pasipo maji.
Compară
Explorează Zaburi 63:1
2
Zaburi 63:3
Kwa sababu upendo wako ni bora kuliko uhai, midomo yangu itakuadhimisha.
Explorează Zaburi 63:3
3
Zaburi 63:4
Nitakusifu siku zote za maisha yangu, na kwa jina lako nitainua mikono yangu.
Explorează Zaburi 63:4
4
Zaburi 63:2
Nimekuona katika mahali patakatifu na kuuona uwezo wako na utukufu wako.
Explorează Zaburi 63:2
5
Zaburi 63:7-8
Kwa sababu wewe ndiwe msaada wangu, chini ya uvuli wa mabawa yako naimba. Nafsi yangu inaambatana nawe, mkono wako wa kuume hunishika.
Explorează Zaburi 63:7-8
6
Zaburi 63:6
Kitandani mwangu ninakukumbuka wewe; ninakuwaza makesha yote ya usiku.
Explorează Zaburi 63:6