1
Zaburi 121:1-2
Neno
NEN
Nayainua macho yangu natazama milima: msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu hutoka kwa BWANA, Muumba wa mbingu na dunia.
Compară
Explorează Zaburi 121:1-2
2
Zaburi 121:7-8
BWANA atakukinga na madhara yote, atayalinda maisha yako, BWANA atakulinda unapoingia na unapotoka, tangu sasa na hata milele.
Explorează Zaburi 121:7-8
3
Zaburi 121:3
Hatauacha mguu wako uteleze, yeye akulindaye hatasinzia
Explorează Zaburi 121:3