1
Zaburi 115:1
Neno
NEN
Sio kwetu sisi, Ee BWANA, sio kwetu sisi, bali utukufu ni kwa jina lako, kwa sababu ya upendo na uaminifu wako.
Compară
Explorează Zaburi 115:1
2
Zaburi 115:14
BWANA na awawezeshe kuongezeka, ninyi na watoto wenu.
Explorează Zaburi 115:14
3
Zaburi 115:11
Ninyi mnaomcha, mtumainini BWANA, yeye ni msaada na ngao yao.
Explorează Zaburi 115:11
4
Zaburi 115:15
Mbarikiwe na BWANA Muumba wa mbingu na dunia.
Explorează Zaburi 115:15