1
Hesabu 12:8
Neno
NEN
Kwake nitanena naye uso kwa uso, waziwazi wala si kwa mafumbo; yeye ataona umbo la BWANA. Kwa nini basi ninyi hamkuogopa kuzungumza kinyume cha mtumishi wangu Musa?”
Compară
Explorează Hesabu 12:8
2
Hesabu 12:3
(Basi Musa alikuwa mtu mnyenyekevu sana, mnyenyekevu kuliko mtu mwingine yeyote katika uso wa dunia.)
Explorează Hesabu 12:3
3
Hesabu 12:6
BWANA akawaambia, “Sikilizeni maneno yangu: “Akiwepo nabii wa BWANA miongoni mwenu, nitajifunua kwake kwa maono, nitanena naye katika ndoto.
Explorează Hesabu 12:6
4
Hesabu 12:7
Lakini sivyo kwa mtumishi wangu Musa; yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote.
Explorează Hesabu 12:7