1
Walawi 18:22
Neno
NEN
“ ‘Usikutane kimwili na mwanaume vile mwanaume anavyokutana kimwili na mwanamke; hilo ni chukizo.
Compară
Explorează Walawi 18:22
2
Walawi 18:23
“ ‘Usikutane kimwili na mnyama na kujitia unajisi kwake. Mwanamke asijipeleke kwa mnyama ili kukutana naye kimwili; huo ni upotovu.
Explorează Walawi 18:23
3
Walawi 18:21
“ ‘Usimtoe kafara mtoto wako yeyote kwa Moleki, kwani hutalinajisi kamwe jina la Mungu wako. Mimi ndimi BWANA.
Explorează Walawi 18:21