1
Kutoka 29:45-46
Neno
NEN
Ndipo nitakapofanya makao miongoni mwa Waisraeli na kuwa Mungu wao. Nao watajua kuwa Mimi Ndimi BWANA Mungu wao, aliyewatoa Misri ili nipate kufanya makao miongoni mwao. Mimi Ndimi BWANA Mungu wao.
Compară
Explorează Kutoka 29:45-46