1
Kutoka 24:17-18
Neno
NEN
Kwa Waisraeli utukufu wa BWANA ulionekana kama moto uteketezao juu ya mlima. Kisha Musa akaingia ndani ya lile wingu alivyokuwa akipanda mlimani. Naye akakaa huko mlimani kwa muda wa siku arobaini, usiku na mchana.
Compară
Explorează Kutoka 24:17-18
2
Kutoka 24:16
nao utukufu wa BWANA ukatua juu ya Mlima Sinai. Kwa muda wa siku sita wingu lilifunika mlima, na siku ya saba BWANA akamwita Musa kutoka kati ya lile wingu.
Explorează Kutoka 24:16
3
Kutoka 24:12
BWANA akamwambia Musa, “Panda uje kwangu huku mlimani na ukae hapa, nami nitakupa vibao vya mawe, vyenye sheria na amri ambazo nimeziandika ziwe mwongozo wao.”
Explorează Kutoka 24:12