1
Kutoka 14:14
Neno
NEN
BWANA atawapigania ninyi, nanyi mnatakiwa kutulia tu.”
Compară
Explorează Kutoka 14:14
2
Kutoka 14:13
Musa akawajibu Waisraeli, “Msiogope. Simameni imara, nanyi mtauona wokovu BWANA atakaowapatia leo. Hao Wamisri mnaowaona leo kamwe hamtawaona tena.
Explorează Kutoka 14:13
3
Kutoka 14:16
Inua fimbo yako na unyooshe mkono wako juu ya bahari ili kuyagawa maji, ili Waisraeli wapate kupita mahali pakavu baharini.
Explorează Kutoka 14:16
4
Kutoka 14:31
Basi Waisraeli walipoona uwezo mkubwa BWANA aliodhihirisha dhidi ya Wamisri, watu wakamwogopa BWANA na wakaweka tumaini lao kwake na kwa Musa mtumishi wake.
Explorează Kutoka 14:31