INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA SITAਨਮੂਨਾ

YESU APONYA MWENYE PEPO
"28 Walipofika ng'ambo katika nchi ya Wagerasi, watu wawili waliopagawa na pepo wachafu wakitoka makaburini walikutana naye. Watu hawa walikuwa wakali mno kiasi kwamba hakuna mtu aliyeweza kupita njia ile."
29 Wakapiga kelele,“Una nini nasi, Mwana wa Mungu?
Umekuja hapa kututesa kabla ya wakati ulioamriwa?”
30 Mbali kidogo kutoka pale walipokuwa, kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe wakilisha.Wale pepo wachafu wakamsihi Yesu,
“Ukitutoa humu, turuhusu tuende kwenye lile kundi la nguruwe.”
Akawaambia, “Nendeni!”
Hivyo wakatoka na kuwaingia wale nguruwe, nalo kundi lote likatelemka mbio gengeni, likaingia baharini na kufa ndani ya maji.
33 Wale waliokuwa wakiwachunga hao nguruwe wakakimbia wakaingia mjini, wakaeleza yote kuhusu yale yaliyowatokea wale waliokuwa wamepagawa na pepo wachafu.
34 Kisha watu wote wa mji huo wakatoka kwenda kukutana na Yesu. Nao walipomwona wakamsihi aondoke kwenye nchi yao.
ਪਵਿੱਤਰ ਸ਼ਾਸਤਰ
About this Plan

Mfuatano huu ni kusanyiko la hadithi kuhusu maisha Kristo itakayoshirikisha watazamaji wote ulimwenguni kwa kutumia mchanganyiko wa kuona na sauti. Maisha na mafundisho ya Yesu yalidhihirishwa katika kitabu hiki cha hadithi ambacho kinafuata masimulizi ya Agano Jipya yanayopatikana katika vitabu vya Injili vya Mathayo, Marko, Luka, na Yohana
More
Related Plans

The Revelation of Jesus

Uncharted: Ruach, Spirit of God

After Your Heart

Journey Through Leviticus Part 2 & Numbers Part 1

Out of This World

Wisdom for Work From Philippians

Blindsided

Create: 3 Days of Faith Through Art

Unbroken Fellowship With the Father: A Study of Intimacy in John
