Uwekezaji Wako Ulio Bora!ਨਮੂਨਾ

“Ongeza Maarifa Yako”
Kukuza uelewa wa Neno la Mungu ni juhudi ya maisha. Haiwezi kutokea mara moja. Lakini kuna njia kadhaa ambazo zinaleta uelewa mpana zaidi. Hapa ni baadhi ya mawazo:
1 - Jipatie baadhi ya nyenzo. Kuna aina kadhaa za Msaada zilizopo zinazoweza kusaidia kuelewa vizuri zaidi kile unachokisoma. Mfano, Biblia za Mafunzo, Kamusi za Biblia, na Mwongozo wa Mafunzo ambazo hupatikana kwa njia ya kieletroniki au vitabu vya kawaida.
2 - Jihusishe katika kikundi cha kujifunza Biblia au kikundi kidogo cha mawasiliano na Wakristo wengine na kuangalia wengine wanalitumiaje Neno la Mungu katika maisha yao.
3 - Uwe na Mpango. Kwa wale wanaoweza kuwa na muda binafsi wa kujisomea, kuna mipango ya kujisomea inayopatikana katika “Programu ya Biblia ya “YouVersion’s” kukuongoza katika Biblia yote. Mingi ya mipango hii inaweza kukusaidia kupitia Biblia yote kwa mwaka – na hayo ni mafanikio makubwa!
Unavyotumia muda mwingi katika Neno Lake, ndivyo uelewa wako wa Neno unavyokuwa bora zaidi. Unapofanya hivyo utagundua kwamba Mungu atakusaidia kupata kufahamu kile hasa unachohitaji kulingana na msimu wa maisha uliomo katika wakati huo.
ਪਵਿੱਤਰ ਸ਼ਾਸਤਰ
About this Plan

Kupata matunda tele na ya baraka huanzia na kufanya uwekezaji ulio sahihi. Kama wewe ni mkristo mpya, hakuna uwekezaji ulio mkuu zaidi unaoweza kufanya katika imani yako zaidi ya kuingiza ndani yako Neno la Mungu mara kwa mara. Anzia hapa ikusaidie Kusoma, Kuelewa na Kutumia kwa ufanisi kila siku. Imechukuliwa kutoka kitabu kiitwacho, “Nje ya Dunia Hii: Mwongozo wa Kikristo Kwa Ukuaji na Kusudi” na David J. Swandt
More
Related Plans

Wisdom for Work From Philippians

Create: 3 Days of Faith Through Art

A Heart After God: Living From the Inside Out

Unbroken Fellowship With the Father: A Study of Intimacy in John
To the Word

The Faith Series

The Revelation of Jesus

Faith Through Fire

The Path: What if the Way of Jesus Is Different Than You Thought?
