1
Marko 11:24
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
TKU
Kwa sababu hiyo nawaambia chochote mtakachoomba katika sala, muamini kwamba mmekipokea na haja mliyoiomba nayo itakuwa yenu
താരതമ്യം
Marko 11:24 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
2
Marko 11:23
Nawaambia kweli: Yeyote atakayeuambia mlima huu, ‘Ng'oka na ukajitupe katika bahari’; kama asipokuwa na mashaka moyoni mwake, Lakini akaamini kuwa kile anachokisema kitatokea, huyo atatendewa hayo.
Marko 11:23 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
3
Marko 11:25
Na wakati wowote mnaposimama kuomba, mkiwa na neno lolote kinyume na mtu mwingine, mmsamehe mtu huyo. Na Baba yenu aliye mbinguni naye atawasamehe ninyi dhambi zenu.”
Marko 11:25 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
4
Marko 11:22
Yesu akawajibu, “Mnapaswa kuweka imani yenu kwa Mungu.
Marko 11:22 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
5
Marko 11:17
Yesu akaanza kuwafundisha na kuwaeleza, “Je! haikuandikwa katika Maandiko kwamba: ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ambapo watu wa mataifa yote wataleta maombi yao kwangu’? Lakini ninyi mmeifanya kuwa ‘mahali pa wezi kujificha.’”
Marko 11:17 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
6
Marko 11:9
Wote wale waliotangulia mbele na wale waliofuata walipiga kelele kwa shangwe, “‘Msifuni Mungu! Mungu ambariki yeye anayekuja katika Jina la Bwana!’
Marko 11:9 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
7
Marko 11:10
Mungu aubariki ufalme unaokuja, ufalme wa Daudi baba yetu! Msifuni Mungu juu mbinguni!”
Marko 11:10 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
ആദ്യത്തെ സ്ക്രീൻ
വേദപുസ്തകം
പദ്ധതികൾ
വീഡിയോകൾ