1
Marko 10:45
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
TKU
Kwani hata Mwana wa Adamu hakuja ili kutumikiwa bali alikuja kuwatumikia wengine na kuyatoa maisha yake ili kuwaweka huru wengi.”
താരതമ്യം
Marko 10:45 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
2
Marko 10:27
Huku akiwatazama, Yesu alisema, “Hili haliwezekani kwa wanadamu, lakini kwa Mungu linawezekana, kwa sababu yote yanawezekana kwake Mungu.”
Marko 10:27 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
3
Marko 10:52
Hivyo Yesu akamwambia, “Nenda! Imani yako imekuponya.” Na mara akaweza kuona tena, na akamfuata Yesu barabarani.
Marko 10:52 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
4
Marko 10:9
Kwa hiyo, mtu yeyote asitenganishe kile ambacho Mungu amekiunganisha pamoja.”
Marko 10:9 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
5
Marko 10:21
Yesu akamwangalia. Naye akashikwa na upendo kwa mtu yule, na hivyo akamwambia, “umekosa kitu kimoja: Nenda ukaviuze vyote ulivyo navyo kisha ukawape walio maskini, nawe utakuwa umejitunzia hazina mbinguni. Kisha uje ukanifuate.”
Marko 10:21 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
6
Marko 10:51
Naye Yesu akamwambia, “Unataka nikufanyie nini?” Yule mtu asiyeona akamwambia, “Mwalimu, nataka kuona tena.”
Marko 10:51 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
7
Marko 10:43
Haipaswi kuwa hivyo miongoni mwenu. Kwani yeyote atakaye kuwa mkuu miongoni mwenu basi na awe mtumishi wenu.
Marko 10:43 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
8
Marko 10:15
Ninawaambia kweli, Yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo anavyoupokea hataweza kuingia ndani yake.”
Marko 10:15 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
9
Marko 10:31
Lakini wengi walio wa kwanza sasa watakuwa wa mwisho baadaye na wale walio wa mwisho sasa watakuwa wa kwanza baadaye.”
Marko 10:31 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
10
Marko 10:6-8
Lakini tangu mwanzo wa uumbaji wake Mungu ‘aliwaumba mwanaume na mwanamke’. ‘Basi kwa sababu ya hiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, na kujiunga na mkewe. Na hao wawili wataungana pamoja na kuwa mwili mmoja.’ Nao si wawili tena bali ni mwili mmoja.
Marko 10:6-8 പര്യവേക്ഷണം ചെയ്യുക
ആദ്യത്തെ സ്ക്രീൻ
വേദപുസ്തകം
പദ്ധതികൾ
വീഡിയോകൾ