1
Yohana MT. 17:17
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Uwatakase kwa kweli; neno lako ndio kweli.
ತಾಳೆಮಾಡಿ
Yohana MT. 17:17 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
2
Yohana MT. 17:3
Na uzima wa milele ni huu, wakujue wewe, Mungu wa peke yake, wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Yohana MT. 17:3 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
3
Yohana MT. 17:20-21
Wala si hao tu ninaowaombea, bali na wao walakaoniammi kwa sababu ya neno lao. Wote wawe umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, na mimi ndani yako, illi na hawa wawe umoja ndani yetu: ulimwengu upate kuamini kwamba ndiwe uliyenituma.
Yohana MT. 17:20-21 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
4
Yohana MT. 17:15
Siombi uwatoe katika ulimwengu, hali uwalinde na yule mwovu.
Yohana MT. 17:15 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
5
Yohana MT. 17:22-23
Nami, utukufu ule ulionipa nimewajia wao, wawe umoja, kama sisi tulivyo umoja: mimi ndani yao, na wewe ndani yangu, wapate kukamilika na kuwa umoja; illi ulimwengu ujue ya kuwa udiwe uliyenituma, ukawapenda wao kama ulivyonipenda mimi.
Yohana MT. 17:22-23 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
ಮುಖಪುಟ
ಬೈಬಲ್
ಯೋಜನೆಗಳು
ವೀಡಿಯೊಗಳು