Mwanzo 41:51
Mwanzo 41:51 SWC02
Yosefu akamwita mwana wake wa kwanza Manase, akisema: “Mungu amenifanya nisahau taabu zangu zote na jamaa ya baba yangu.”